MAYWEATHER ATAMBA NA MKOKO WA DUNIA

MAYWEATHER ATAMBA NA MKOKO WA DUNIA

Like
449
0
Monday, 24 August 2015
Entertanment

Bondia mwenye tambo zaidi duniani Floyd Mayweather amefanikiwa kununua gari la ndoto zake.

Gari hilo ambalo limekua likitajwa na bondia huyo toka mwezi June kwa sasa lipo kwenye mikono yake baada ya kukamilisha malipo yote na kuwa mmiliki halali wa gari hilo la kipekee na la thamani zaidi duniani

Gari hiyo aina ya Koenigsegg CCXR Trevita linalokwenda 0-60 kwa sekunde 2.9 na kutembea umbali wa miles 250 kwa saa

Mwenyewe Floyd amelipa jina la Hyper car huku gharama za manunuzi ya gari hilo zinafikia dola milioni tano za kimarekani

LOYD2

Comments are closed.