POLISI nchini Uganda imewakamata viongozi wawili wa upinzani na wagombea wa urais wanaotazamiwa kupambana dhidi ya rais Yoweri Museveni katika uchaguzi ujao.
Gazeti la serikali la New Vision limeripoti kuwa waziri mkuu wa zamani Amama Mbabazi amekamatwa na polisi katikati mwa Uganda, wakati Kizza Besigye, kiongozi wa zamani chama cha Forum for Democratic Change FDC, alikamatwa nyumbani kwake nje ya mji mkuu Kampala.
Dr. Kizza Besigye