MBAO ZAPANDA BEI

MBAO ZAPANDA BEI

Like
552
0
Monday, 07 September 2015
Local News

IMEBAINISHWA kuwa kutokana na kufungwa kwa Hesabu ya mapato ya mwaka 2014 kumesababisha ugumu wa upatikanaji wa mbao hali inayochangia bidhaa hiyo kuuzwa kwa bei ya juu.

Wakizungumza na kituo hiki Jijini Dar es salaam wafanyabiashara wa mbao wamesema kuwa kuanzia mwezi june hadi sasa zimekuwa zikipatikana kwa shida kwenye misitu ikilinganishwa na kipindi kilichopita.

Wafanyabiashara hao wamebainisha  kuwa  bei inapo kuwa juu inasababisha hata mwananchi wa kawaida kushindwa kununua  kwa sababu ya gharama zake.

 

Comments are closed.