MCHEPUKO WAMUHARIBIA WIZKID

MCHEPUKO WAMUHARIBIA WIZKID

Like
520
0
Monday, 22 December 2014
Entertanment

Mwanamke ambae hakutaka jina lake lifahamike ametuma barua pepe yenye kuelezea mahusiano yake na mkali kutoka Nigeria Wizkid ambapo ameeleza kuwa mahusiano yao ni ya muda mrefu na kuwa hivi karibuni alishea usiku mzito wa kimahaba na star huyo katika hoteli moja huko Lagos aliyoitaja kwa jina la Eko

Binti huyo ametuma picha za baadhi ya vitu anavyomiliki star huyo ikiwemo tatoo iliyochorwa kwenye mwili wa Wizkid akiwa kitandani

Wizkid-December-2014-BellaNaija0031-600x450

Binti huyo alienda mbali zaidi na kumtambia mpenzi wa Wizkid Tania Omotayo kwa kumwambia kuwa kwa uzito wa penzi aliloonyeshwa na star huyo ambae amemualika huko Lagos pamoja na zawadi za kutosha alienda mbali zaidi na kutoa maneno ya kumuumiza Tania Omotayo

Wizkid-December-2014-BellaNaija0021-600x450 Wizkid-December-2014-BellaNaija0041-600x450

hii ndio barua iliyotumwa

‘I’ve been seeing wizkid for a long time. He always invites me to Lagos. We had an adventurous night at eko hotel. Very intimate, we had drinks, cuddled, got down and dirty, and he spoiled me with holiday treats and gifts.  I choose to stay anonymous so I am using a friends email addy to send dis in. You can see his starboy tattoo, his Rolex, his Porsche, and laptop. Please write dis on d post. ‘In my bed’ my baby Ayodeji. Me and Wizkid have been together for many months. I always have a lovely time wiv him in Lagos. @TaniaOmotayo, if he does this while u are in Lagos, imagine what we do when he comes to my city. He will nvr stop wanting my body in his bed. Lol. She should not disturb my life when I’m wiv my boo. Proof so she will not continue to deceive herself. We love ourselves. He picked me up in his Porsche, we stayed at eko, watched movies on his laptop. He loves to taste me so Tania, how do I taste on his lips?’

 

 

Comments are closed.