MCT YAZINDUA TUZO ZA UMAHIRI ZA UANDISHI WA HABARI

MCT YAZINDUA TUZO ZA UMAHIRI ZA UANDISHI WA HABARI

Like
508
0
Tuesday, 21 October 2014
Global News

 BARAZA la habari nchini-MCT kwakushirikiana na Kamati ya maandalizi ya tuzo za Umahiri za uandishi wa habari Tanzania-EJAT, leo imezindua rasmi tuzo hizo ikiwa ni mara ya sita tangu kuanzishwa kwake.

Akizungumza na wandishi wa habari Jijini Dar es salaam, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya EJAT, Meneja udhibiti na viwango wa MCT, Pili Mtambalike amesema tuzo za mwaka huu zimeongezewa mambo mapya mawili nakufanya jumla ya makundi ya kushindaniwa kuwa 21 kutoka 19.

PICHA NI BAADHI YA MATUKIO KATIKA SHEREHE ZA KUTOA TUZO MSIMU ULIOPITA

Picture 084

Picture 067

 

Comments are closed.