MECKY SADIQ: MWAKA WA JANA ULIKUWA MWAKA WA MAFANIKIO

MECKY SADIQ: MWAKA WA JANA ULIKUWA MWAKA WA MAFANIKIO

Like
325
0
Thursday, 01 January 2015
Local News

MKUU wa mkoa wa Dar es salaam SAID MECKY SADIQ amesema mwaka jana ulikuwa na mafanikio yaliyotekelezwa kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na Ujenzi wa Maabara.

Amesema katika mwaka huo mkoa umejipanga kutoa Elimu na hamasa kwa wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura.

Comments are closed.