MEDANI ZA KIMATAIFA

MEDANI ZA KIMATAIFA

Like
342
0
Tuesday, 17 February 2015
Slider

AFRIKA.

Pamoja na timu ya Taifa ya Mali kutofanya vizuri kwenye michuano ya Afcon iliyomalizika hivi karibuni, shirikisho la soka nchini humo halina mpango wa kumtimua kocha huyo.

Mali-2y7r25p50quh72cupa0miy

ULAYA.

Pamoja na Manchester United kufuzu kwa hatua ya robo fainali ya michuano ya FA, mashabiki wa Preston walimzomea Radamel Falcao na kuita usajili wake ni sawa na upotevu wa fedha kwa Man United.

 

Kocha wa zamani wa Ac Millan na timu ya taifa ya Italia, Arrigo Sacchi amebainisha kuwa kuwepo kwa wachezaji wengi “weusi” na wageni kwenye soka la Italia ndiyo chanzo cha kuporomoka kwa soka la nchi hiyo.

sacchi

Comments are closed.