MEEK MILL AKABILIWA NA KESI YA KUJIBU

MEEK MILL AKABILIWA NA KESI YA KUJIBU

Like
260
0
Thursday, 09 April 2015
Entertanment

 

Rapa Meek Mill anakabiliwa na kesi ya kujibu baada ya kupuuza onyo ama katazo lililotolewa na mmiliki wa eneo la moja ya mabangaloo maarufu nchini marekani glass mansion linalopatikana Beverly Hills.

Katika onyo hilo lilitolewa na mmiliki huyo lilimtaka Meek kutofanya party ya aina yoyote itakayoleta mkusanyiko wa watu kwenye eneo hilo

 

Katika mkataba waliowekeana na Meek Mill mmiliki huyo ameelezea kipengere kilichosainiwa na Meek kwamba asifanye party eneo hilo ambapo uongozi wa kampuni ulionya kutofanyika kwa Grammy Party katika eneo hilo kwa sabab u za kiusalama na badala yake Meek alipouuzia onyo hilo.

 

Imeelezwa kuwa party hiyo ilihitimishwa na kuzuka kwa ugomvi na wageni waalikwa wakaanza kutawanyika mitaani, polisi wanatajwa pia kuhusika na kutuliza ghasia hizo ingawa hakuna mtu aliekamatwa kwenye tukio hilo.

 

Mmiliki huyo anamfungulia mashtaka Meek Mill kwakukiuka makubaliano waliyowekeana

meek

Comments are closed.