MELI YENYE WAHAMIAJI HARAMU WAPATAO 400 YANASWA ITALI

MELI YENYE WAHAMIAJI HARAMU WAPATAO 400 YANASWA ITALI

Like
256
0
Friday, 02 January 2015
Global News

Askari wanaolinda Pwani ya Italia wamejaribu kuwasaidia watu waliokwama ndani ya Meli ya Kibiashara, iliyotelekezwa katika Pwani ya Kusini Mashariki mwa nchi hiyo.

Meli hiyo ina zaidi ya wahamiaji haramu wapatao mia nne.

Taarifa zinasema hakuna mhudumu wala nahodha kwenye meli hiyo.

 

 

Comments are closed.