MENEJA SIMBA AFUNGIWA  MWAKA MMOJA NA TFF KUJIHUSISHA NA SOKA, FAINI

MENEJA SIMBA AFUNGIWA MWAKA MMOJA NA TFF KUJIHUSISHA NA SOKA, FAINI

Like
563
0
Monday, 10 September 2018
Local News

Meneja wa Simba SC, Robert Richard amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa muda wa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka huku adhabu hiyo ikiambatana na faini ya shilingi za Kitanzania, milioni 4.

Adhabu hiyo imetolewa kutokana na kosa la kuihujumu timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *