MENEJA WA EVERTON ALIA NA CHELSEA

MENEJA WA EVERTON ALIA NA CHELSEA

Like
332
0
Thursday, 12 February 2015
Slider

Meneja wa klabu ya Everton Roberto Martinez amewashutumu wachezaji wa klabu ya Chelsea kwa kujaribu kumuongoza na kumzonga refa baada ya klabu yake kupokea kichapo cha 1-0 wakati Chelsea ilipokuwa kwenye uwanja wa nyumbani huko Stamford Bridge.

“ni wazi kuwa timu iliyokwenye uwanja wa nyumbani inajaribu kumshawishi refa” alisema Martinez kuiambia BBC.

Jitihada za kuzungumza na Mourinho ziligonga mwamba mara baada ya kukatisha interview alipoulizwa kuhusu nidhamu za wachezaji wake kufuatia mchezo huo kutawaliwa na utata

Bao la Chelsea lilifungwa na Willian na kuifanya Chelsea kuibuka kinara wa mchezo huo.

everton3 everton2 everton

 

Comments are closed.