MEXICO YAANZA MSAKO MKALI KUMSAKA MUUZA MIHADARATI

MEXICO YAANZA MSAKO MKALI KUMSAKA MUUZA MIHADARATI

Like
283
0
Monday, 13 July 2015
Global News

SERIKALI nchini Mexico imeanza msako mkali wa kumtafuta Joaguin Guzman ambaye ni maarufu wa biashara ya dawa za kulevya duniani, kufuatia kutoroka katika gereza lenye ulinzi mkali mwishoni mwa wiki.

Helikopta za Blackhawk ambazo zimeonekana kuruka juu gerezani Altiplano magharibi ya Mexico City mahali alipokuwa ameshikiliwa mfanyabiashara huyo.

Wafanyakazi wa magereza wamehojiwa baada ya kubainika kuwa Joaguin alitoroka kupitia njia ya chini ya ardhi yenye urefu wa kilomita moja na hii ni mara ya pili kwake kutoroka.

Comments are closed.