Kipindi kinachotoa fursa ya kuweka hoja Mezani na kujadiliwa na wataalamu mbali mbalikwa kushirikisha wananchi ili kutatua matatizo na Changamoto zilizopo katika Jamii auTaifa kwa ujumla, Wataalamu mbalimbali hualikwa kulingana na Mada husika kwa ajili yakutoa ufafanuzi. Wataalamu hao ni pamoja na Mawaziri, kwa maana ya wenye mamlaka kutoka Serikalini, na Sekta Binafsi, wachambuzi wa mambo mbalimbali. Mada katika kipindihiki hufanyiwa utafiti kabla haijatangazwa hewani kupitia kitengo chetu cha Utafiti ambao hufanya mahojiano na wananchi kujua ni mambo gani na wataalamu gani au wizara n.k, wangependa wafikishwe studio kwa mahojiano.
Segments
1. Taarifa ya habari (7:00am - 7:10am)
2. Ufunguzi (7:10am - 7:15am)
3. Habari 5 (7:30am - 8:00am)
4. Mada (8:00am - 0830am)
5. Hitimisho (9:30am - 10:00am)