MFALME ABDULLAH WA SAUDIA AFARIKI DUNIA

MFALME ABDULLAH WA SAUDIA AFARIKI DUNIA

Like
310
0
Friday, 23 January 2015
Global News

KUNA TAARIFA kuwa mfalme wa Saudia Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .

Tamko la kifo cha mfalme huyo zimetolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.

Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudia ilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.

Mfalme Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa tangu December mwaka wa jana kutokana na maambukizi kwenye njia ya hewa.

 

Comments are closed.