MGOMBEA WA CHAMA TAWALA AONGOZA KWENYE MATOKEO YA AWAZI ZAMBIA

MGOMBEA WA CHAMA TAWALA AONGOZA KWENYE MATOKEO YA AWAZI ZAMBIA

Like
282
0
Friday, 23 January 2015
Global News

MATOKEO ya kura za urais nchini Zambia sasa yameanza kukamilika katika ukumbi wa kimataifa wa Mulungushi makao makuu ya kuhesabia kura .

Matokeo yaliotolewa na tume ya uchaguzi ya Zambia Usiku wa kuamkia leo yanaonyesha kuwa Edgar Lungu mgombea wa chama tawala cha Patriotic Front mpaka sasa bado anaongoza akiwa na kura laki 670 elfu 397 huku mpinzani wake Hakainde Hachilema wa chama cha United Party for National Development akiwa karibu kwa kura laki 641 efu 343.

Hivo Edgar Lungu anaongoza kwa 48.8 % na hali Hakainde Hachilema akiwa na 46,9 % na mgombea mwingine Bi Nanakwi mwanamke pekee kwenye kinyanganyiro hicho yuko nafasi ya 3 akiwa na kura elfu 11, 260 sawa na asilimia 0. 268.

Comments are closed.