MGOMO WA WAFANYAKAZI WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAWAIDA UJERUMANI

MGOMO WA WAFANYAKAZI WAKWAMISHA SHUGHULI ZA KAWAIDA UJERUMANI

Like
268
0
Wednesday, 27 April 2016
Global News

MGOMO wa  wafanyakazi  wa  sekta  ya  umma umevuruga shughuli  za  kawaida nchini  Ujerumani  hii leo.

Wanachama  wa  chama  cha  wafanyakazi  wa  sekta  ya umma Verdi wamegoma  kufanya kazi  kutokana na madai  ya nyongeza ya mshahara.

 

Viwanja  vya  ndege  vya Frankfurt, Dusseldorf  na  Munich vimeathirika  na  mgomo  huo  ikiwa  ni  pamoja na  usafiri wa mjini katika miji  mbali  mbali,  lakini  uwanja  wa  ndege wa mjini  Berlin unafanyakazi  kama  kawaida.

Comments are closed.