MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU WA DART

MHANDISI RONALD LWAKATARE ATEULIWA KUWA KAIMU WA DART

Like
574
0
Tuesday, 05 January 2016
Local News

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. George Boniface Simbachawene, amemteua Mhandisi Ronald Lwakatare kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es salaam –DART, uteuzi ambao umeanzia jana.

 

Uteuzi huo unafuatia kusimamishwa kazi kupisha uchunguzi kwa aliyekuwa Mtendaji Mkuu Bibi Asteria Mlambo aliyesimamishwa tarehe 23/12/2015.

Comments are closed.