MICHEZO ITAKAYOCHEZWA LEO KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA FEB 5

MICHEZO ITAKAYOCHEZWA LEO KATIKA LIGI MBALIMBALI BARANI ULAYA FEB 5

Like
392
0
Thursday, 05 February 2015
Slider

Michezo mitatu itachezwa leo hii katika ligi mbalimbali barani ulaya   katika ligi kuu ya soka ya nchini Hispania la liga kikosi cha kocha VICTOR FERNANDEZ Deportivo la corona wakiwa nyumbani katika uwanja wa Riazok watawakaribisha Eibar.

Katika ligi ya bundesiliga ya huko ujerumani kocha ROBERTO DI MATEO akiwa katika uwanja wanyumbani atawaongoza vijana wake wa Schalke newfia au schalke 04 katika mchezo wao dhidi ya Borussia Monchengladbach.

NA France ligi one klabu ya Saint Etienne ikiwa nyumbani itakipiga dhidi ya Lens.

Comments are closed.