MIILI YA WANAJESHI WA UGANDA YAWASILI

MIILI YA WANAJESHI WA UGANDA YAWASILI

Like
471
0
Thursday, 03 September 2015
Global News

MIILI ya wanajeshi 10 wa Uganda, waliouawa na wapiganaji wa kundi la wapiganaji wa Al-Shabaab, nchini Somalia ipo tayari kusafirishwa kuelekea nchi wanapotoka.

Msemaji wa jeshi la nchi hiyo Kanali Paddy Ankunda, amesema kwamba shambulio hilo limebadili mambo na Al-Shabaab wanafaa kutarajia jibu lifaalo kutokana na shambulizi walilolifanya.

Wanajeshi 12 wa Uganda waliuawa kwenye shambulio hilo la Jumanne, kwenye kambi ya wanajeshi wa Muungano wa Afrika –AU– Kusini mwa Somalia ambapo kundi hilo limesema limewauwa wanajeshi 70 wa muungano huo.

UG2

UG4

Comments are closed.