MIILI YA WATU 19 YAPATIKANA MEXICO

MIILI YA WATU 19 YAPATIKANA MEXICO

Like
214
0
Wednesday, 16 December 2015
Global News

MIILI ya watu wapatao 19 imepatikana katika jimbo la mexico la Guerrero, ambako wanafunzi 43 walitoweka mwaka jana.

Polisi wanasema miili hiyo ilitupwa kwenye mto mwembamba, wenye kina cha mita mia tano katikati ya miamba na miti karibu na kijiji cha Chichi-hua-lco.

Miili nane kati ya hiyo ilikuwa inaonekana kuchomwa baadhi ya viungo.

 

Comments are closed.