MIILI YA WATU SITA WALIOPOTEZA MAISHA KUZIKWA LEO DAR

MIILI YA WATU SITA WALIOPOTEZA MAISHA KUZIKWA LEO DAR

Like
362
0
Tuesday, 10 February 2015
Local News

MIILI ya watu Sita wa Familia moja walioteketea kwa moto inatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Airwing jijini Dar es salaam.

Hata hivyo bado chanzo cha moto huo hakijajulikana huku baadhi ya watu wakidai huenda moto huo umesababishwa na Petrol.

Moto huo umetokea usiku wa kuamkia Jumamosi katika Mtaa wa Kipunguni A Kipawa jijini Dar es salaam.

 

Comments are closed.