MILIONI 6 WAOKOLEWA DHIDI YA VIFO VITOKANAVYO NA MALARIA DUNIANI

MILIONI 6 WAOKOLEWA DHIDI YA VIFO VITOKANAVYO NA MALARIA DUNIANI

Like
162
0
Thursday, 17 September 2015
Global News

RIPOTI  mpya  ya  shirika  la  afya  duniani  WHO,  na shirika  la  kuwahudumia  watoto UNICEF imesema  zaidi ya  maisha  ya  watu  milioni  6 yameokolewa  kutokana  na ugonjwa  wa  malaria  katika  muda  wa  miaka  15  iliyopita.

Uingiliaji  kati  katika  afya  ya  jamii  barani  Asia  na  eneo la  mataifa  ya  kaukasus  umekuwa  na  mafanikio makubwa  katika  kuudhibiti  ugonjwa  huo.

Asilimia 80 ya vifo vitakavyotokana na Malaria mwaka huu inatarajiwa kuwa katika mataifa ya Afrika kusini ya Jangwa la Sahara.

Comments are closed.