MIONGOZO RAHISI YA USIMAMIZI WA MISITU YAZINDULIWA

MIONGOZO RAHISI YA USIMAMIZI WA MISITU YAZINDULIWA

Like
287
0
Thursday, 24 March 2016
Local News

MRADI wa MAMA MISITU kwa kushirikiana na Serikali na wadau mbalimbali wamezindua miongozo rahisi ya usimamizi shirikishi wa misitu kwa jamii, vijiji na kwa pamoja.

Akizungumza na waandishi wa Habari katika uzinduzi huo, Meneja Mradi wa MAMA MISITU Gwamaka Mwakyanjala amesema kuwa lengo la uzinduzi wa Miongozo hiyo ni kuwawezesha wananchi kufahamu zaidi ni nini wanapaswa kufanya katika utunzaji wa misitu ili wafaidike na malighafi zinazotokana na misitu.

Comments are closed.