MISIKITI YA US NA CANADA YAKABILIWA NA TISHIO

MISIKITI YA US NA CANADA YAKABILIWA NA TISHIO

Like
221
0
Thursday, 19 November 2015
Global News

MISIKITI iliyopo nchini Marekani na Canada inakabiliwa na ongezeko la uharibifu na vitisho vya kigaidi tangu kutokea kwa shambulio kali mjini Paris.

Vituo vya kiislamu vimekuwa vikipokea ujumbe wa chuki katika simu huku baadhi ya misikiti ikichapishwa michoro ya moto na jumbe za kulipiza kisasi.

Hata hivyo Nchini Canada, mtu mmoja aliyekuwa amejifunika uso wake amekamatwa na maafisa wa polisi baada ya kutishia kuwaua waislamu huko Quebec na kutishia kumuua mwarabu mmoja kila wiki.

Comments are closed.