MISINGI YA AMANI YATAJWA

MISINGI YA AMANI YATAJWA

Like
350
0
Thursday, 13 August 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa ili Tanzania iweze kuwa na amani ya kudumu, Taifa linahitaji kuwa na misingi madhubuti yenye kuzingatia haki na usawa.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo baada ya uzinduzi rasmi wa kampeni ya njia ya mitandao ya habari ijulukanayo kama uchaguzi Tanzania 2015 kura yetu,  Kiongozi kijana HUMPHREY POLEPOLE amebainisha kuwa haki na usawa vitasaidia kuondoa vizingiti kati ya wakristo na waislamu, viongozi wa siasa na vyama vyao lakini pia kati ya taasisi mbalimbali zikiwemo rasmi na binafsi.

 

Comments are closed.