MISRI: HAKUNA USHAHIDI NDEGE YA URUSI ILIDUNGULIWA

MISRI: HAKUNA USHAHIDI NDEGE YA URUSI ILIDUNGULIWA

Like
203
0
Monday, 14 December 2015
Global News

MAAFISA wa upelelezi wa ajali za ndege kutoka Misri wamesema kuwa hawajapata ushahidi wowote kuwa ndege ya Urusi iliyoanguka katika rasi ya Sinai na kuua watu 224 ililipuliwa.

 

Ndege hiyo iliyokuwa ikitokea Sharm el-Sheikh ikielekea Moscow ilianguka jangwani mwezi Oktoba.

 

Kundi moja la wapiganaji wanaoliunga mkono kundi la Islamic State –IS, walidai kuwa wao ndio walioidungua ndege hiyo.

Comments are closed.