MKAPA ATAKA MABADILIKO UN

MKAPA ATAKA MABADILIKO UN

Like
547
0
Tuesday, 13 October 2015
Local News

RAIS Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin Mkapa ametoa wito wa kufanyika kwa mabadiliko katika mfumo wa uendeshaji wa Umoja wa Mataifa ili kukidhi mahitaji ya sasa ya dunia.

Mkapa ameyasema hayo jana katika mdahalo wa juma la Umoja wa Mataifa ambalo unakamilika leo sambamba na maadhimisho ya miaka 70 tangu kuundwa kwa umoja huo.

MKAPA3

 

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamin William Mkapa akimshukuru Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mh. Bernard Membe kwa ukaribisho.

MKAPA

 

 

 

Comments are closed.