MKIA WA NDEGE AIR ASIA WAPATIKANA

MKIA WA NDEGE AIR ASIA WAPATIKANA

Like
270
0
Wednesday, 07 January 2015
Global News

IMEELEZWA kuwa Mkia wa ndege ya Air Asia iliyoanguka umepatikana kwenye bahari ya Java, baada ya kikosi kilichokuwa kikiisaka ndege hiyo.

Mkia huo wa ndege hutunza Visanduku vyeusi vinavyorekodi Mawasiliano ndani ya ndege ambavyo vingeweza kuwasaidia wachunguzi kubaini chanzo cha ajali.

 

Comments are closed.