MKUTANO MKUU WA NCHI ZENYE NGUVU DUNIANI KUENDELEA VIENNA,AUSTRALIA

MKUTANO MKUU WA NCHI ZENYE NGUVU DUNIANI KUENDELEA VIENNA,AUSTRALIA

Like
187
0
Wednesday, 08 July 2015
Global News

MKUTANO mkuu wa nchi sita zenye nguvu duniani ikiwemo Iran unatarajiwa kuendelea tena huko Vienna nchini Australia, pamoja na tarehe ya kuhitimishwa kwa mazungumzo hayo kutajwa .

Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Urusi,Sergei Lavrov, amesema kwamba awali kulikubwa na sababu ya kuamini kuwa suala hilo litahitimishwa katika siku chache lakini haikuwa hivyo.

Naye waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ufaransa,Laurent Fabius amehakikisha kutoondoka mapema katika meza ya mazungumzo hayo ambapo pia ametaja hatua zitakazo chukuliwa baada ya mazungumzo hayo ikiwa ni pamoja na adhabu, utafiti, maendeleo na uchunguzi wa kimataifa kama vigezo vikuu.

Comments are closed.