MKUTANO WA APEC KILELE CHAKE LEO

MKUTANO WA APEC KILELE CHAKE LEO

Like
299
0
Tuesday, 11 November 2014
Global News

VIONGOZI wa nchi za Asia na Pacific wanaendelea na Mkutano wao leo kwa siku ya pili ya mkutano wa kilele wa jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi wa nchi za Asia na Pacific APEC ambao unafikia kilele chake leo.

Viongozi hao wanatarajiwa kuangazia suala la kutanua biashara huru miongoni mwao na kutafuta njia za makubaliano.

China inazitaka nchi 21 wanachama wa jumuiya hiyo ya APEC kuidhinisha kujitolea kuunga mkono mpango wa biashara huru wa maeneo ya Asia na pacific ujulikanao FTAAP huku Marekani ambayo ina mpango tofauti wa biashara huru utakaozihusisha nchi 12 wa APEC ujulikanao TPP ikitafuta pia uungwaji mkono wa wazo lake.

 

Comments are closed.