MKUTANO wa kilele wa baadhi ya mataifa imara yanayoinukia kiuchumi duniani unaanza rasmi leo nchini Urusi.
Nchi zinazoshiriki zinafahamika kama BRICS yaani Brazil, Urusi, India, China na Afrika Kusini.
Benki ya BRICS ilizinduliwa mapema wiki hii, ambayo itafadhili miradi ya miundo mbinu katika nchi wanachama.