MKUTANO WA PILI WA AMANI NA USALAMA AFRIKA KUFANYIKA DAKAR

MKUTANO WA PILI WA AMANI NA USALAMA AFRIKA KUFANYIKA DAKAR

Like
301
0
Monday, 09 November 2015
Global News

MKUTANO wa Awamu ya pili wa Amani na usalama barani Afrika unatarajia kufanyika mjini Dakar nchini Senegal kwa muda wa siku mbili zijazo.

Mkutano huo utawasaidia viongozi wa nchi, mawaziri na wataalamu wa jeshi kuangalia njia bora za kuimarisha usalama na utulivu barani Afrika.

Aidha Mkutano huo wa kimataifa wa awamu ya pili unalenga zaidi changamoto za bara la Afrika na athari zake katika ngazi za kimataifa.

Comments are closed.