MKUU WA FAMILIA YA KIFALME SAUDIA AMEONYA JUU YA MPANGO WA NYUKLIA WA IRAN

MKUU WA FAMILIA YA KIFALME SAUDIA AMEONYA JUU YA MPANGO WA NYUKLIA WA IRAN

Like
230
0
Monday, 16 March 2015
Global News

KIONGOZI Mkuu wa familia ya kifalme nchini Saudia ameonya kwamba makubaliano ya mpango wa nyuklia wa Iran huenda yakasababisha nchi zingine katika eneo hilo la ghuba kuanza kurutubisha madini ya atomiki.
Mwanamfalme Turki al-Faisal amesema kwamba Saudi Arabia pia itatafuta haki sawa kama yatakavyofanya mataifa mengine.
Mataifa sita yenye nguvu duniani yanayojadiliana na Iran yanadai kwamba inatosha kudhibiti shughuli za nyuklia za Iran ili isiweze kuunda silaha za nyuklia.

Comments are closed.