MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA KUTIA TIMU NDANI YA EFM REDIO

MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA KUTIA TIMU NDANI YA EFM REDIO

Like
1133
0
Friday, 01 April 2016
Local News

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda atia timu ndani ya EFM redio leo, ziara hiyo ni katika kuangalia utendaji kazi wa redio hiyo pamoja na kujadiliana mambo kadha wa kadha yahusianayo na jamii kwa ujumla.

1

Mkurungenzi wa EFM redio Francis Siza katika picha ya pamoja na Mh. Paul Makonda leo alipotembelea kituo hicho.

2

Paul Makonda akiwa studio akiongea na baadhi ya watangazaji wa kipindi cha UHONDO ambao ni Dina Marios, Swebe Santana pamoja na Sofia Amani

3

Paul Makonda akizungumza na baadhi ya waandishi wa habari wa Efm Redio.

4

Akiwa katika kitengo cha mauzo na masoko cha EFM redio akizungumza na maafisa masoko wa kituo hicho.

5

Paul Makonda akiwa chumba cha uzalishaji(Production) cha EFM redio

6

Akiwa katika kitengo cha utafiti, mawasiliano na ubunifu

Comments are closed.