MKUU WA WILAYA YA MANYALA ATOA MIEZI MINNE KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI

MKUU WA WILAYA YA MANYALA ATOA MIEZI MINNE KUKAMILISHA UJENZI WA MAABARA KATIKA SHULE ZA SEKONDARI

Like
341
0
Tuesday, 13 January 2015
Local News

 MKUU WA MKOA wa Manyara JOEL BENDERA  ametoa miezi Minne kwa Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Watendaji wa Halmashauri kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa Maabara katika shule za Sekondary.

BENDERA ametoa agizo hilo alipofanya ziara ya siku moja kukagua Ujenzi wa Maabara katika Wilaya za Simanjiro na Kiteto na kuzungumza na Wenyeviti wa Vijiji,Madiwani na Watumishi wa Wilaya hizo.

 

Comments are closed.