MKWANJA WAMALIZA BIFU KATI BEBE COOL NA JOSE CHAMELEONE

MKWANJA WAMALIZA BIFU KATI BEBE COOL NA JOSE CHAMELEONE

Like
458
0
Monday, 05 January 2015
Entertanment

Siri ya mwimbaji Bebe Cool na Jose Chameleone imefichuka

Waimbaji hawa ambao kwa muda mrefu wamekuwa na tofauti za hapa na pale richa ya kupatana mara kadhaa lakini kwa sasa wamerudi tena kwenye mstari amani

Kupatana kwao kulianikwa hadharani siku ya Boxing day mwaka jana pale ambapo walikumbatiana na kila mmoja kuimba wimbo wa mwenzake jukwaani

Chanzo cha habari kinaeleza kuwa kupatana kwao kumetokana na sababu za kimaslahi zaidi kwani wasanii hao wananguvu kubwa ya ushawishi kwenye jamii hivyo basi kuungana kwao ni sehemu ya dili ya kampeni ya chama cha siasa cha NRM kujizolea kura nyingi katika uchaguzi utakaofanyika mwaka 2016

Source big eyes ug

Comments are closed.