MLIPUKO WAUA WATU 27 UTURUKI

MLIPUKO WAUA WATU 27 UTURUKI

Like
221
0
Monday, 20 July 2015
Global News

WATU 27 wameuawa na wengine wapatao 100 kujeruhiwa vibaya katika shambulizi la bomu lililotokea leo katika mji wa Uturuki wa Suruc ambao upo kwenye mpaka wa Uturuki na Syria.

 

Mlipuko huo ulitokea kwenye bustani ya kituo cha kitamaduni majira ya saa tatu ambapo mamia ya vijana wanaripotiwa kufanya kazi kwenye kituo hicho.

 

Maafisa wanachunguza ikiwa mlipuko huo ulisababishwa na bomu la kujitolea mhanga.

UT3

UT2

Mji huo wa Suruc upo kwenye mpaka wa Uturuki na Syria.

Comments are closed.