MOHAMEDI SALAH HASHIKIKI USAJILI ULAYA

MOHAMEDI SALAH HASHIKIKI USAJILI ULAYA

Like
1483
0
Tuesday, 20 March 2018
Sports

Kwa mujibu wa jarida la “the sun” limeripoti kuwa Mshambuliaji wa Liver aliye katika fomu hivi sasa, Mmsiri , Mohamed Salah, anawaniwa na timu tofauti za Ulaya.

PSG, Real Madrid na F.C Barcelona ndiyo klabu zinazonyatia saini ya mchezaji huyo ili kuweza kumsajili.

Dau la pauli milioni 200 litakalounja rekodi ya uhamisho , ndiyo kuwa linaweza kumng’oa mchezaji huyo kutoka Liverpool.

Salah ameifungia Liverpool jumla ya mabao 28 katika msimo huu wa ligi kuu England.

 

Comments are closed.