MORO KUJENGA VYOO KUSHEREHEKEA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA DUNIANI

MORO KUJENGA VYOO KUSHEREHEKEA SIKU YA USAFI WA MAZINGIRA DUNIANI

Like
418
0
Wednesday, 05 November 2014
Local News

KATIKA kuelekea kusherehekea siku ya Usafi wa Mazingira Duniani wakazi wa Manispaa ya Morogoro wametakiwa kujenga vyoo bora ili kujikinga na magonjwa mbalimbali yatokanayo na uchafu

Hayo yamebainishwa na Afisa wa Manispaa ya Morogoro GABRIEL MALISA wakati akizungumza na Efm mjini Morogoro.

MALISA amebainisha kuwa katika kuelekea kusherehekea siku ya Usafi wa Mazingira duniani ni wajibu wa kila mwanachama hususani mkazi wa Morogoro na vitongoji vyake kuhakikisha suala la usafi linakuwa ni endelevu sanjari na kuhakikisha kila mwananchi anajenga choo bora ili kujikinga na maradhi ya tumbo.

Comments are closed.