MSAKO KUFANYIKA NYUMBA KWA NYUMBA DAR KUTAMBUA SHUGHULI ZA KILA MKAZI

MSAKO KUFANYIKA NYUMBA KWA NYUMBA DAR KUTAMBUA SHUGHULI ZA KILA MKAZI

Like
354
0
Friday, 15 July 2016
Local News

Msako huo uliotangazwa na Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam Mh. Paul Makonda utafanyika nyumba moja hadi nyingine kwa lengo la kutambua shughuli za wakazi wa Daresalaam na kutoa onyo kwa atakayekwamisha zoezi hilo kukiona cha moto.

Comments are closed.