MSCHANA WA MIAKA 16 AKIRI KUTEKELEZA UGAIDI UINGEREZA

MSCHANA WA MIAKA 16 AKIRI KUTEKELEZA UGAIDI UINGEREZA

Like
237
0
Wednesday, 26 August 2015
Global News

MSICHANA mmoja mwenye umri wa miaka 16 amekiri kutekeleza ugaidi katika mahakama moja ya mjini Manchester Uingereza.

Msichana huyo ambaye jina lake haliwezi kutajwa amekiri kumiliki vilipuzi na maelezo ya kutengeza bomu.

Kukamatwa kwake mnamo mwezi Aprili kunafuatia uchunguzi na kitengo cha kukabiliana na ugaidi cha kaskazini magharibi.

Alikamatwa pamoja na mvulana mmoja wa miaka 14 kutoka eneo la Blackburn ambaye amekiri kuhusika katika njama ya kuwashambulia polisi katika gwaride nchini Australia.

 

Comments are closed.