MSEMAJI WA TFF ALEZEA KIPIGO CHA 4- 1 WALICHOKIPATA TAIFA STARS ALGERIA

MSEMAJI WA TFF ALEZEA KIPIGO CHA 4- 1 WALICHOKIPATA TAIFA STARS ALGERIA

Like
507
0
Friday, 23 March 2018
Sports

NDIMBO: Kwanza niseme watu wanashindwa kutofautisha kati ya kufungwa na timu kucheza vizuri

NDIMBO: Ingawa timu imefungwa lakini timu ilicheza vizuri.

SWALI KUTOKA KWA OSCA OSCA: KWA NINI MASHBIKI WAMEPUNGUA KWENDA KUANGALI MECHI UWANJANI???

NDIMBO: Jambo hili lina mitazamo mingi sana kitu kikubwa ni kuja na research na kupata jibu sahii kwa jambo hili

NDIMBO: Kwa upande mwingine mashabiki wenyewe hawana uzalendo wa timu zao kwenda uwanjani

OSCA OSCA: Tulikuwa tunalalamika kwamba tunapata mechi za kirafiki na nchi vibonde

NDIMBO: Kwa maana ukicheza na timu yenye rank ya juu ya FIFA sisi tuna Gain, Kwa hiyo Mashabiki wasikimbilie tu kwenye Matokeo

NDIMBO: Kuelekea kwenye mchezo huo, unajua tumekuwa kwenye kalenda ya FIFA tulikuwa tunacheza mchezo mmoja

OSCA OSCA; Kuelekea kwenye Mechi yetu dhidi ya DRC CONGO, TFF Umejipanga vipi??

NDIMBO:Tumeliona hilo tumepata mechi mbili za kirafiki, ninachowaomba watu wasikate tamaa , waende uwanjani tuzipe nguvu timu zetu.

NDIMBO: Tuna washukuru wmshaabiki ambao walijitokeza kwenye mchezo wa ngorongoro, ingawa sio wengi lakini tunawashukuru, na tuendeleee

NDIMBO: Kwa sasa tunaangalia mchezo wa jumanne wa DRC CONGO, kwenye kiingilio tumeliangalia, na kutokana vipato vya watanzania tumapanga vingilia vya chini kabisa

NDIMBO: Viingilio ni kwamba jukaa kuu kiingilio kitakuwa Tsh 5000/= na Mzunguko kiinggilio ni 1000/= tu

 

 

 

 

 

Comments are closed.