MSHAMBULIAJI AUAWA ISRAEL

MSHAMBULIAJI AUAWA ISRAEL

Like
248
0
Monday, 19 October 2015
Global News

RAIA mmoja wa Israel ameuawa katika mapambano ya kurushiana risasi na kuchomana visu yaliyozuka katika kituo cha Basi kusini mwa mji wa Beersheva.

Hata hivyo katika mapambano hayo watu wengine kumi walijeruhiwa wanne kati yao wakiwa ni Polisi.

Mtu aliyetekeleza shambulio hilo anadhaniwa kuwa ni raia wa Palestina ambaye alipigwa risasi na Polisi na kufariki.

Comments are closed.