MSHINDI WA SAKASAKA WILAYA YA KINONDONI

MSHINDI WA SAKASAKA WILAYA YA KINONDONI

Like
409
0
Monday, 06 July 2015
Local News

Kutana na Debora charles mkazi wa kinondoni mkwajuni ambae ni mshindi wa shindano la sakasaka Wilaya ya Kinondoni aliyejibebea kitita cha shilingi milioni moja na nusu za kitanzania kupitia shindano hili lenye msisimko wa kipekee.

Hata wewe pia waweza kuwa mshindi na kuweza kubadilisha maisha yako kwakusikiliza efm na kufuata maelekezo.

Image21

Debora charles

Image12 Image14 Image11 Image9 Image8  Image23 Image3 Image4 Image5 Image1 Image2

Comments are closed.