MSHUKIWA WA IS AFIKISHWA MAHAKAMANI MALI

MSHUKIWA WA IS AFIKISHWA MAHAKAMANI MALI

Like
229
0
Wednesday, 30 September 2015
Global News

MSHUKIWA wa kundi la wapiganaji wa kiislamu, anayetuhumiwa kuharibu makavazi ya kihistoria nchini Mali, anatarajiwa kufikishwa mbele ya mahakama ya kimataifa ya ICC wakati wowote kuanzia sasa.

Anatuhumiwa kuteleza uhalifu wa kivita.

Ahmad Al Faqi Al Mahdi, alikabidhiwa kwa mamlaka kuu nchini Niger siku ya Jumamosi ambapo inasemekana aliamrisha au kutekeleza uharibifu katika makavazi ya kale huko Timbuktu.

Comments are closed.