MSIMU WA SIKUKUU KUWAUNGANISHA WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE

MSIMU WA SIKUKUU KUWAUNGANISHA WIZ KHALIFA NA AMBER ROSE

Like
316
0
Thursday, 17 December 2015
Entertanment

Wiz Khalifa na Amber Rose wamethibitisha kuwa msimu wa sikukuu huunganisha familia pamoja.

Wawili hawa wameweka tofauti zao pembeni na kutoka pamoja mapema jumatano iliyopita ikiwa ni sehemu ya kuonyesha mapenzi kwenye malezi ya motto wao Sebastian huko Loss Angels

Comments are closed.