MTOTO WA BONDIA MOHAMED ALLY AKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA BABA YAKE

MTOTO WA BONDIA MOHAMED ALLY AKANUSHA TAARIFA ZA KIFO CHA BABA YAKE

Like
510
0
Friday, 17 October 2014
Entertanment

mtoto wa aliekuwa Bondia mashuhuri duniani Mohamed Ally, Leila Ally amekanusha uvumi unaendelea sehemu mbalimbali duniani juu ya Afya ya baba yake anaesumbuliwa na maradhi kwa kipindi kirefu

Leila amedai baba yake yupo hai na hakuna ukweli wowote juu ya taarifa za kifo cha baba yake  ingawa kimsingi baba yake huyo ani mgonjwa.

Kwa miaka mingi sasa Bondia huyo mashuhuri duniani mwenye umri wa miaka 72 alianza kusumbuliwa na maradhi mnamo mwaka 1984

 

 

Comments are closed.