MTOTO WA MWAKA MMOJA ACHOMWA MOTO WEST BANK

MTOTO WA MWAKA MMOJA ACHOMWA MOTO WEST BANK

Like
236
0
Friday, 31 July 2015
Global News

MTOTO mchanga wa kipalestina ameuawa baada ya nyumba yao kumwagiwa petroli na kuchomwa moto katika makazi ya West Bank na

walioshuhudia wanawashuku walowezi wa kiyahudi kuwa ndio waliotekeleza shambulizi hilo.

 

Inaelezwa kuwa  mtoto huyo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu alikuwa ndani ya nyumba yao ilipomwagiwa petroli na kuchomwa.

 

Wazazi wake na kaka yake walinusurika shambulizi hilo ambalo serikali ya Israeili imelitaja kuwa la kigaidi.

Comments are closed.