MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA KWA KILE KINACHOSADIKIKA KUWA AMEUAWA NA POLISI

MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA KWA KILE KINACHOSADIKIKA KUWA AMEUAWA NA POLISI

Like
197
0
Tuesday, 24 February 2015
Local News

KUNA taarifa kuwa mtu mmoja amefariki dunia baada ya kile kinachosemekana kuwa ameuawa na Askari Polisi katika kata ya Ilula, Wilayani Kilolo Mkoa wa Iringa.

Kwa mujibu wa wakazi wa eneo lililotokea tukio hilo, polisi walikuwa kwenye msako wa vilabu vya pombe za kienyeji ambako mtu huyo ambaye jina lake bado halijajulikana inasemekana alikuwa anakunywa pombe hizo.

Hata hivyo bado Efm inaendelea kulifuatilia tukio hilo, ili kujua chanzo cha tukio, na juhudi za kumtafuta Kamanda wa polisi mkoani Iringa zinaendelea ingawa hadi sasa simu zake hazipatikani.

 

Comments are closed.