MUHONGO KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA SERA ZA KUKUZA MITAJI

MUHONGO KUWA MGENI RASMI MKUTANO WA SERA ZA KUKUZA MITAJI

Like
292
0
Wednesday, 12 November 2014
Local News

 WAZIRI wa Nishati na Madini Profesa SOSPETER MUHONGO anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano utakaozikutanisha kampuni na mashirika ya Umma,yanayojihusisha na Nishati kwa lengo la kupitia sera na kukuza mitaji.

Profesa MUHONGO pia anatarajiwa kuzihamasisha kampuni zenye nia ya kuwekeza katika uzalishaji wa Nishati ya Umeme kwa lengo la kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa Umeme nchini.

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika November 31,mwaka huu jijini Dar es salaam ,utawakutanisha Wawekezaji kutoka nchi za India, Marekani,China na Bara la Afrika.

Comments are closed.